Hiyo gear lever ina batani moja tu, hiyo batani pia ina tumika kuingiza gear.
Ukisukuma gear lever kwenda kwenye position ya gear namba 1, gear namba 2 utabonyeza tu batani kisha utakanyaga clutch while gear lever ikiwa hapo hapo kwenye namba 1.
Utaingiza namba 3 kwa gear lever then namba 4 ni batani na clutch. Mpangilio ni huo huo kwenye kila gear mpaka zitimie 16.
Ukifika gia namba 8 kabla ya kwenda 9 itabidi uhamie high range kisha uendelee 9-16.
Juu ya gear lever kuna nucta mbili, name them as N1(neutral position) and N2(neutral position)
consecutively
Ili utoke low range kwenda high range, utasukuma lever kutoka namba 8 mpaka kwenye nucta ya kwanza N1 kisha hiyo lever utaivuta kulia kwenye nucta ya pili N2, gari itacheua then utasukuma tena lever mpaka namba 9. zoezi hili linafanyika kwa uharaka.
Kwenye kupangua kutoka high kurudi low ni kinyume chake, utatoka namba 9 mpaka N2 kisha utasukuma lever kurudi kushoto mpaka N1 then 8.
Nimeassume hujawahi kuiona hiyo pattern kwenye hiyo lever ndiyo maana nimeandika maelezo marefu.
Asante
Sielew nataman kuelewa
kelphin kepph
Sent using
Jamii Forums mobile app