Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #21
Philosopher stone ni ya kwanza kabisa ikafuatia chamber's secret, goblet of fire.Nikiwa o level hii muvi kidogo inifukuzishe shule PHILOSOPHER STONE yaani sina hamu nayo maana nimekumbuka machungu ya kukata visiki vya shamba la kahawa