Wapenzi wa Harry Potter

Wapenzi wa Harry Potter

Nikiwa o level hii muvi kidogo inifukuzishe shule PHILOSOPHER STONE yaani sina hamu nayo maana nimekumbuka machungu ya kukata visiki vya shamba la kahawa
Philosopher stone ni ya kwanza kabisa ikafuatia chamber's secret, goblet of fire.
 
Philosopher stone ni ya kwanza kabisa ikafuatia chamber's secret, goblet of fire.

Labda sasa hivi nianze kuzitafuta but ukisoma kitabu na muvi aisehhh lazima uipende maana wanachambua vitu mpaka unapenda mfano dementa(sina uhakika sana) wanapoelezea sifa zote yokoje na n.k

ivi yule profesa dolores umbridge yupo tu bado kwenye muvi za harry porter maana nampenda sana ananiinspire maneno yake
 
Sorcerer's stone..!

1010.jpg
 
Kwahiyo the sorcerer's stone kwa jina lingine ndio inaitwa philosopher's stone eenhe..!?
Hii movie nimeiona nikiwa darasa la nne...
Tena kwa tv ya jirani..![/QUOTE
mkuu hili jina sorcerer's stone sijawahi kulisikia.
 
Kwahiyo hawa vijana tangu watoto wanapiga pesa tu..!!?
Au wahusika walibadirishwa..?
Wanapesa na wameshajijengea majina pia wamefungua njia ya kuingia Hollywood, Daniel( Harry kwenye movie) alinunua penthouse New York katikati ya mji. Emma Watson( Harmonie Granger kwenye movie)
amekuwa UN good will ambassodor wa wanawake.
 
Wanapesa na wameshajijengea majina pia wamefungua njia ya kuingia Hollywood, Daniel( Harry kwenye movie) alinunua penthouse New York katikati ya mji. Emma Watson( Harmonie Granger kwenye movie)
amekuwa UN good will ambassodor wa feministe.
Dooh(HASIRA)...
Haya bhana...
LIZIKI mafungu SABA..!
 
Back
Top Bottom