Wapenzi wa Madilu System tukutane hapa

Wapenzi wa Madilu System tukutane hapa

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Nakumbuka huyu Mwamba alimgusa mpaka Rais wao akatangaza siku kadhaa za maombolezo na mapumziko wakati wa kifo chake>

Madilu System collapsed on Friday, 10 August 2007.

He was taken to the University Hospital in Kinshasa, where he died the next morning, Saturday 11 August 2007. His last album,
 
Tafuta pesa wewe.
Pumbavu mkubwa wewe, sio wote humu ni middle class wanaohangaika na viajira uchwara, na next time jitahidi kusoma uzi ili u understood, uzi huu ni wapenzi wa Madilu systems tukutane humu, kama wewe sio fan wa Madilu systems pls get lost, nenda kwa tembo au alimasi kenge wakubwa walioharibu mziki wetu wa kitanzania.
 
mi nilijuwa huyu wa fedha aliyesema twende burundi
 
Nakumbuka huyu Mwamba alimgusa mpaka Rais wao akatangaza siku kadhaa za maombolezo na mapumziko wakati wa kifo chake>

Madilu System collapsed on Friday, 10 August 2007.

He was taken to the University Hospital in Kinshasa, where he died the next morning, Saturday 11 August 2007. His last album,
View attachment 2429772
Aisee mwamba alikuwa na kipaji Cha Hali ya juu sana,, alikuwa na mashairi matamu na alikuwa na melody safi sana. Kiukweli kama ni kipaji, Mwenyezi alimjaalia sana MADILU SYSTEM. Ingawa nilikawia kumjua, nimeanza kumfuatilia kwa ukaribu miaka si mingi kutokana na umri wangu tu. Mwaka amefariki nilikuwa darasa la nne tu,, ametokea kuwa favorite kwangu. Nina playlist ya nyimbo zake na haipiti siku sijamsikiliza.. Amefanya nikajifunza kilingala na French Ili nipate kuelewa nyimbo zake na angalau nazielewa japo si kwa kiwango Cha juu kama watu wa lugha Yao.

It was so painful when I realized he was already died by that time nilipoanza kumfuatilia
 
Back
Top Bottom