Wapenzi wa Madilu System tukutane hapa

Wapenzi wa Madilu System tukutane hapa

Ya jean
Manuele samuele
Nzele

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mwaka amefariki nilikuwa darasa la nne tu,, ametokea kuwa favorite kwangu. Nina playlist ya nyimbo zake na haipiti siku sijamsikiliza.. Amefanya nikajifunza kilingala na French Ili nipate kuelewa nyimbo zake na angalau nazielewa japo si kwa kiwango Cha juu kama watu wa lugha Yao.
👍🤝👏
 
Anayeimbwa sana ni Franco.. sema kuna watu wanakazi nzuri ila ndio hivyo nyota.
Ni kama vile Ferre Gora ni kichwa ila Nyota anayo Fally Ipupa.
R.I.P Madilu Systems
 
Mzee alikuwa na VHS za kutosha za huyu mwamba, good old days. Alikuwa hatari sana mwamba
 
Yaani huyu jamaa apewe siti special huko aliko tukifika tumkute kazi iendelee
 
Nazikubali sana nyimbo zake haswa:-
1. Ya jean
2.Nzele nkoto
3. Franco de mi amor

Ila ukiachana na huyu mwamba kuna mwingine Franco luambo mikiadi, ana ngoma kali sana kama 12600 lettres, Mamou, Mario n.k
 
Back
Top Bottom