Wapenzi wa Madilu System tukutane hapa

Wapenzi wa Madilu System tukutane hapa

Feredwaaaa kwa anayeelewa kilichoimbwa atutafsrie.
R.I.P goat

NB,
Huo wimbo n ringtone yangu mabest wananicheka ila ndio siikii wala sioni juu ya huu wimbo.
 
Feredwaaaa kwa anayeelewa kilichoimbwa atutafsrie.
R.I.P goat

NB,
Huo wimbo n ringtone yangu mabest wananicheka ila ndio siikii wala sioni juu ya huu wimbo.
Nikikuwekea maana yake kwa English utaelewa?
 
Mimi Ninautafuta sana wimbo wake mmoja unaitwa Mbadi Coco ,,nimeutafuta sana bila mafanikio, vipi wewe unao mkuu?

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mbadi coco [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umenikumbusha mbali sana..kuna siku nilipanda gari ya jamaa angu akawa ameuweka huu wimbo..alifunga mzk mkubwaaa..bwana weee..ile mitwango si ya kitoto...nnao huo wimbo
 
Katika wanamuziki ambao walikuwa wanasikia raha sana kuimba ni madilu.unamuona kabisa jinsi anavyofurahia mziki.
 
Back
Top Bottom