Sawa DadaNinazo za kutosha njoo inbox nikugawie
Kashatafuta pesa kapata, sasa anatafuta furaha kwa kusikiliza muziki mzuri. Una shida na hilo kwani!?Tafuta pesa wewe.
Tafuta pesa wewe.
Emmanuel SamuelPesa position
Ya Je'an
Nzele
Leau
RTC riva
Colonisation
Si je' sa veica
Ingratitude
Vice versa
Aisee sijawahi choka kusikiliza hizo nyimbo pale juu.
Kupanda... (ninaweza kuusikiliza week nzima)Pesa position
Ya Je'an
Nzele
Leau
RTC riva
Colonisation
Si je' sa veica
Ingratitude
Vice versa
Aisee sijawahi choka kusikiliza hizo nyimbo pale juu.
Pumbavu mkubwa wewe, sio wote humu ni middle class wanaohangaika na viajira uchwara, na next time jitahidi kusoma uzi ili u understood, uzi huu ni wapenzi wa Madilu systems tukutane humu, kama wewe sio fan wa Madilu systems pls get lost, nenda kwa tembo au alimasi kenge wakubwa walioharibu mziki wetu wa kitanzania.Tafuta pesa wewe.
Manuele SamueleEmmanuel Samuel
Aisee mwamba alikuwa na kipaji Cha Hali ya juu sana,, alikuwa na mashairi matamu na alikuwa na melody safi sana. Kiukweli kama ni kipaji, Mwenyezi alimjaalia sana MADILU SYSTEM. Ingawa nilikawia kumjua, nimeanza kumfuatilia kwa ukaribu miaka si mingi kutokana na umri wangu tu. Mwaka amefariki nilikuwa darasa la nne tu,, ametokea kuwa favorite kwangu. Nina playlist ya nyimbo zake na haipiti siku sijamsikiliza.. Amefanya nikajifunza kilingala na French Ili nipate kuelewa nyimbo zake na angalau nazielewa japo si kwa kiwango Cha juu kama watu wa lugha Yao.Nakumbuka huyu Mwamba alimgusa mpaka Rais wao akatangaza siku kadhaa za maombolezo na mapumziko wakati wa kifo chake>
Madilu System collapsed on Friday, 10 August 2007.
He was taken to the University Hospital in Kinshasa, where he died the next morning, Saturday 11 August 2007. His last album,
View attachment 2429772