Wapenzi wa Madilu System tukutane hapa

Ya jean
Manuele samuele
Nzele

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
👍🤝👏
 
Anayeimbwa sana ni Franco.. sema kuna watu wanakazi nzuri ila ndio hivyo nyota.
Ni kama vile Ferre Gora ni kichwa ila Nyota anayo Fally Ipupa.
R.I.P Madilu Systems
 
Mzee alikuwa na VHS za kutosha za huyu mwamba, good old days. Alikuwa hatari sana mwamba
 
Yaani huyu jamaa apewe siti special huko aliko tukifika tumkute kazi iendelee
 
Nazikubali sana nyimbo zake haswa:-
1. Ya jean
2.Nzele nkoto
3. Franco de mi amor

Ila ukiachana na huyu mwamba kuna mwingine Franco luambo mikiadi, ana ngoma kali sana kama 12600 lettres, Mamou, Mario n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…