upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Huko kwenu hayo ndio magari mazuri?badili jina la uzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
146000kmsMkuu hii ina Km ngap?
85000kms haina tatizo loloteNa hii pia ina Km ngap?
7M hailipi mkuu, wacha nikuangalizie km nitakujibu imetembea ngapMkuu hii imekula Km ngapi? 7M ipo
Aah mkuu umepitia lakini page baada ya page ukaona zile bmw, mark x, crown na hata Landcruiser v8 au pia hizo sio nzuri kwako. Natamani mods wanipatie fursa yaku update huu uzi maana magari mengi yapo huku chini.Huko kwenu hayo ndio magari mazuri?badili jina la uzi.
Usisikitike mkuu inawezekana nikakosea wala lisikutie wasiwasi maadamu unapata fursa ya kukagua gari na kujiridhisha je hizi information nilizopewa kuhusu hili gari ni za kweli?Kuna vitu vinasikitisha sana gari ya mwaka 1999 ila ina mileage 57000k saa cjui ilikuwa ime park ndani miaka yote. (2017-1999=18). (57000/18=?) .
We wataka uzione tu ukahadithie,tupo kikazi.Weka rambogini apoo...+Land lover discovery 5 ahhh nazpenda sana hizi gari
Tazama page namba 5 uone kama ndiyoNahitaji starlet old model
Hahahaaaaa!!!!kweli kabisa naunga mkono hojaMod mkifuta huu uzi damu itamwagika
Vipi hii itafaa? bei yake 11.5MRV4 kuanzia namba DHT old model plz km unayo.
Ipo hii lakini bei ni 5.5MMkuu nitaftie gx 110. Offer ni 5
Kinukacho kwa binadamu kwa inzi kitamu.Huko kwenu hayo ndio magari mazuri?badili jina la uzi.