Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Nissan liberty kwa 4M
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ninayo kluger kwa hyo bei ..kama bado unahtaj nichek PMMil 15 kulger hiyo tumalize biashara!
Nitaweka mkuuSijaona gari yangu pendwa hapo Harrier L.
Weka aina nyingineWakuu habari zenu, leo nimeamua kuja na mjumuiko wa magari ambayo naamini yatawafaa wengi.Nayaorodhesha hapa kama ifuatavyo.
NB:Gari nyingi nzuri zipo post za chini, kama hutaweza kupitia zote nakushauri upitie japo post 5 kuanzia chini kuja juu.
1:Toyota mark x ya mwaka 2004,imetembea km 203000,engine 2990cc bei ni 8.3MView attachment 621422View attachment 621423View attachment 621424View attachment 621425
2: Noah Townace ya mwaka 2001,imetembea km 128000 bei ni 12.5MView attachment 621428View attachment 621430View attachment 621432
3:Toyota Noah sr40,bei 8.5MView attachment 621433View attachment 621434View attachment 621436
4😛ick up double cabin engine 3l, bei 17MView attachment 621440View attachment 621442
5:Kluger new model, 4cylinder bei 20MView attachment 621446View attachment 621447View attachment 621448View attachment 621449View attachment 621451
6😛rado Tx imetembea km 57000 ,engine 3rz, bei 26MView attachment 621454View attachment 621455View attachment 621457
Tuwasiliane kupitia 0689699704,karibuni sana.
Asante sana mkuu, usiache kuwa na matumaini sababu siku ya kutimiza matumaini yako inakujaUzi mtamu sana huu.kila nikiupitia najiona kama sitokufa bila kumiliki gari wakati kesho yangu tu anaijua Mungu!
Zipo nyingi sana mkuu, jaribu kupitia hizi post huku chini utaona nyingi tu, lakini bado naendelea kuweka nyengine zidi kufuatilia uzi, au kama vipi niambie ni gari gani unataka nami nitaitafuta kwajili yakoWeka aina nyingine