Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Mkuu ukiwa na muda nicheck gari zifuatazo no d bajeti yangu ni 8.59M na ziwe na km chini ya 90000. 1. TOYOTA RACTIS 2. TOYOTA IPSIUM, TOYOTA WISH(7SEATERS) NA IST BLACK AU NYEUPE 2005 MODEL. NITARUDI HAPA LEO SAA NNE USIKU
Unajua mkuu hata ukitaka kua unaweza weka vigezo hata vitano lakini ni ngumu kukidhi vyote.
Gari zipo, kwanza hii hapa Toyota wish, model 2005,cc1790,mileage 77000kms bei imeanza 9M lakini kwa mazungumzo naamini itafika8.5M ,contact 0689699704
FB_IMG_1510375259574.jpg
FB_IMG_1510375257100.jpg
 
Mkuu nikiwa na 25M naweza kupata Harrier Old Model (2L) na IST au CAMI zenye akili... Namba zisiwe chini ya DJ..
Inawezekana mkuu japo ongezeko la 1.5M mpaka 1M kwenye hiyo budget linaweza lisiepukike.
Nimepata hii Harrier ni 5s engine, bei yake ni 18M, sasa ukichanganya na hii Ist hapo itafika 27,sasa baada ya hapo tunaingia kwenye negotiation kujitahidi tufike hapo 25M au angalau tukaribie.
IMG-20171111-WA0063.jpg
IMG-20171111-WA0064.jpg
IMG-20171111-WA0065.jpg
IMG-20171111-WA0070.jpg
IMG-20171111-WA0071.jpg
IMG-20171111-WA0062.jpg
IMG-20171111-WA0060.jpg
Hii ni 5s kama itakupendeza pamoja na hiyo Ist nyeusi tuanze mchakato
 
Wakuu habari zenu, leo nimeamua kuja na mjumuiko wa magari ambayo naamini yatawafaa wengi.Nayaorodhesha hapa kama ifuatavyo.
NB:Gari nyingi nzuri zipo post za chini, kama hutaweza kupitia zote nakushauri upitie japo post 5 kuanzia chini kuja juu.
1:Toyota mark x ya mwaka 2004,imetembea km 203000,engine 2990cc bei ni 8.3MView attachment 621422View attachment 621423View attachment 621424View attachment 621425
2: Noah Townace ya mwaka 2001,imetembea km 128000 bei ni 12.5MView attachment 621428View attachment 621430View attachment 621432
3:Toyota Noah sr40,bei 8.5MView attachment 621433View attachment 621434View attachment 621436
4😛ick up double cabin engine 3l, bei 17MView attachment 621440View attachment 621442
5:Kluger new model, 4cylinder bei 20MView attachment 621446View attachment 621447View attachment 621448View attachment 621449View attachment 621451
6😛rado Tx imetembea km 57000 ,engine 3rz, bei 26MView attachment 621454View attachment 621455View attachment 621457
Tuwasiliane kupitia 0689699704,karibuni sana.
mkuu hii prado tx ni ya mwaka gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom