Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Sio gharama kubwa ni kati ya laki, laki na nusu.
Ni wazo zuri la group ila naomba unieleweshe zaidi, hao member wa group tunawachukua wapi, na maudhui ya group hasa itakua nini?
Simply unacreate group mkuu then unashare hapa invitation link kanakwamba mtu akiclick hiyo link automatically anakua added kwenye group. Humo gari zote ambazo zinauzwa utakua unazipost so inasaidia mtu kua na wide choice kwa maana naweza nkawa napenda gari.flan lakini nikaiona nyingine nzuri zaidi kwa gharama nafuu nikawa na variety of options. Ni hivo mkuu, itapendeza zaidi
 
Atacreate group af watu wataanza stori za kitoto na kupost mambo ya siasa huko ile seriousness ya biashara watu hawanaga . Mi nadhani hapa mahali sahihi kabisa
 
Simply unacreate group mkuu then unashare hapa invitation link kanakwamba mtu akiclick hiyo link automatically anakua added kwenye group. Humo gari zote ambazo zinauzwa utakua unazipost so inasaidia mtu kua na wide choice kwa maana naweza nkawa napenda gari.flan lakini nikaiona nyingine nzuri zaidi kwa gharama nafuu nikawa na variety of options. Ni hivo mkuu, itapendeza zaidi
Ni wazo zuri mkuu wacha tulitafakari kwa muda, tukiona linahitajika zaidi tutafanya hivyo, kwa sasa nitaunganisha namba yangu na WhatsApp ili mnifikie kwa urahisi
 
Hii raum ya 7.7 odometer inasomaje? Vipi ile ist ndo umekaza?
Jamaa wa Raum ni mzito kujibu kama umeipenda kuiona itapendeza zaidi.
Ist ndio tumefika hapo 8.7M tena kama unaitaka usichelewe kinyume na hapo utanilaumu tu maana mtu akifika bei nampa.
 
Toyota Avensis please?
Toyota Avensis, bei 4.7M,mileage 12000km, contact 0689699704
IMG-20171113-WA0045.jpg
IMG-20171113-WA0047.jpg
IMG-20171113-WA0046.jpg
IMG-20171113-WA0049.jpg
IMG-20171113-WA0048.jpg
 
Mkuu hapa hapa kunatosha usiunde GRP kwanza Whtsap kuna mambo ya kitoto wataanza kuleta Jokes kwenye biashara hapa ndo mahala mubashara kwanza Jf inawatumiaji wengi more than 3,000 ambao wapo active kila siku group la whtsap members 250 to GRP lipo full alf Jf utapa advantage yakupata wateja hapa wa nnje ya nchi wa Kenya wapo humu watu wa Uganda Jf sote connects us pamoja It's better to stay here.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom