Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Ile REV 4 ULIKUWA unauza mi 5.7 na Harris Mil 8 , Kwa sasa hazionekani kwenye tangazo lako. Namba sikuzishika vizuri.Nitajie mamba zake za usajili
Tuna mtu aliyekaribu n'a akaikagueKwa hiyo MTU atoke sumbawanga aje Dar kuona gari kisha arudi tena sumbawanga?/
We kweli upo sawa sawa?
kula 7m mkuuIpo mkuu, nipigie 0689699704
Kama hana?Tuna mtu aliyekaribu n'a akaikague
Ova
Iko wapi hii Master?Toyota Carina ti
Mwaka:1999
1490CC
100000km
Bei:7.9M(milioni saba na laki tisa)
Mawasiliano :0689699704View attachment 715540View attachment 715541View attachment 715542View attachment 715543View attachment 715545
Ipo Manzese mkuu, nipigie 0689699704Iko wapi hii Master?
Mkuu smahani niliku Pm naona kmyaaToyota Hilux double Cabin
Mwaka:2014
African specs
2kd engine
Diesel
Manual
Bei:50M
Mawasiliano :0689699704View attachment 717084View attachment 717086View attachment 717085View attachment 717087
Wacha nikusome mkuu, samahaniMkuu smahani niliku Pm naona kmyaa
Ikipatikana nitaweka mkuuDUH mbona hummer siion hapo mkuu
Nitoke mwanza kwenda kuangalia ndani ya gari? Hizi picha kazi yake nini? Kwa hiyo hata huko japani itabidi tuende.Waambie pia wanaotaka magari wakati mwingine wajiongeze waje kuyaona magari physical......haya Mambo ya picha picha Syo
Master unaikumbuka ile noah new model ulipostiwaga Humu rangi ya silver......dadeki watu wakatia timu kwenda ikagua kitu tofauti na picha iliyowekwa Ilikuwa full Vituko....namstai tu hyo mwana Jf Humu....aliyeiweka
Teh Teh
Ova
Cresta gx100 mkuuToyota Carina ti
Mwaka:1999
1490CC
100000km
Bei:7.9M(milioni saba na laki tisa)
Mawasiliano :0689699704View attachment 715540View attachment 715541View attachment 715542View attachment 715543View attachment 715545
Nissan Patrol
Mwaka:2004
Diesel
Auto
2953CC
115000km
Bei:35M
Mawasiliano :0689699704
Mkuu nawezapata raum new model, odometer iwe chini ya laki moja. Offer yangu 7m. Ukipata ni pmIkipatikana nitaweka mkuu
Number iwe C au DIkipatikana nitaweka mkuu
Hii imetoka mkuuPicha ya ndani mkuu