Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Toyota Carina ti
Mwaka:1999
1490CC
100000km
Bei:7.9M(milioni saba na laki tisa)
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180315-WA0170.jpg
IMG-20180315-WA0171.jpg
IMG-20180315-WA0174.jpg
IMG-20180315-WA0169.jpg
IMG-20180315-WA0177.jpg
 
Toyota Ist ipo Mwanza inauzwa haraka.
Ni ya mwaka :2003
1290CC
Sport rims
Tairi mpya
Bei ni 7M
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180316-WA0124.jpg
IMG-20180316-WA0129.jpg
IMG-20180316-WA0127.jpg
IMG-20180316-WA0126.jpg
 
Toyota Hilux double Cabin
Mwaka:2014
African specs
2kd engine
Diesel
Manual
Bei:50M
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180316-WA0226.jpg
IMG-20180316-WA0231.jpg
IMG-20180316-WA0228.jpg
IMG-20180316-WA0225.jpg
 
Waambie pia wanaotaka magari wakati mwingine wajiongeze waje kuyaona magari physical......haya Mambo ya picha picha Syo
Master unaikumbuka ile noah new model ulipostiwaga Humu rangi ya silver......dadeki watu wakatia timu kwenda ikagua kitu tofauti na picha iliyowekwa Ilikuwa full Vituko....namstai tu hyo mwana Jf Humu....aliyeiweka
Teh Teh

Ova
Nitoke mwanza kwenda kuangalia ndani ya gari? Hizi picha kazi yake nini? Kwa hiyo hata huko japani itabidi tuende.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom