Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Toyota Prado Tx
Mwaka:1998
Full a/c
Full sound
Engine 1kz
Diesel
Bei:17M
Exchange deal ni sawa, utuongeze pesa
Mawasiliano :0689699704
 
Nissan min bus
Engine;ZD 30
KM:213182
Eneo:Iringa( inaletwa popote
Price: 14M
Number: 0765 290 727
NB:Haina tatizo unaruhusiwa kukagua.!

 
Mkuu bila shaka nimekupigia baada ya kuona missed call yako.
Siunajua mkuu sisi binadamu dharura nyingi, kuna mazingira unalazimika kutokua na simu.
Kama bado hatujazungumza tafadhali nipigie
 
Ist namba C inataka milioni 5.5 ya haraka.
Ipo Mwanza lakini inaweza kusogezwa Dar au mikoa mingine kwa makubaliano.
Imetembea 160000km
1290CC
Kwa milioni 5.5 tu!
Nipigie master of the game :0689699704
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…