Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Noah sr40
Mwaka:2001
1998CC
Bei:9M
Gari ipo vizuri sana, ilisajiliwa mwezi January kwajili ya Uber
Mawasiliano :0689699704
 
Full option means what???
Nilikusudia kunakua na option kadhaa mbadala
Kwamfano
Unaweza kupokea simu au kubadilisha station za Radio

Pia unabonyeza siti ukitaka zilale kidogo au zisimame ni wewe tu na chaguo lako

Nyengine zinakua na chaguo la kuwasha gari kwa kubonyeza kutufe au kutumia funguo ni wewe tu na chaguo lako
 
Toyota Hiace
Fresh from Japan (haijasijiliwa)
2rz engine
100000km
Bei:25M
Mawasiliano :0689699704
 
Niongeze ngap naihitaji serious, km ngap, 4wd au 2wd..any accidents record so far
150000Km ni 4wd.. Kuna marekebisho ilifanyiwa kwa nje pamoja na kupigwa rangi ila kiujumla gari ipo vizuri
Kwenye bei njoo uikague kisha baada ya hapo mazungumzo yafanyike
Ipo Mikocheni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…