BigBaba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,908
- 9,040
Kwann usiwe na whatsap group mkuuNjoo whatsapp niwe nakutumia kwa ukaribu na haraka mpaka ipatikane utayopenda 0689699704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann usiwe na whatsap group mkuuNjoo whatsapp niwe nakutumia kwa ukaribu na haraka mpaka ipatikane utayopenda 0689699704
Wazo zuri kabisaKwann usiwe na whatsap group mkuu
Whatsapp inahitaji muda mwingi uwe online,sasa huyu jamaa mara nyingi anazima data(anajua ni kwa nini nimesema hivi)Kwann usiwe na whatsap group mkuu
Unaanzisha tu anakuwa anatupia mizigo harafu anazima hiyo data yake baadaye anakuja kuangalia walionasa.Whatsapp inahitaji muda mwingi uwe online,sasa huyu jamaa mara nyingi anazima data(anajua ni kwa nini nimesema hivi)
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaha mkuu unanionea... Visimu vyenyewe hivi ukiacha data wazi masaa 3 tu vishazimaWhatsapp inahitaji muda mwingi uwe online,sasa huyu jamaa mara nyingi anazima data(anajua ni kwa nini nimesema hivi)
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hili wazo limetolewa siku nyingi... Naangalia namna bora yakulifanyia kazi lakini kwa sasa ukinifuata whatsapp nipo active sana nahakikisha nalipatia ufumbuzi hitajio lakoUnaanzisha tu anakuwa anatupia mizigo harafu anazima hiyo data yake baadaye anakuja kuangalia walionasa.
Kama wale autocom japan wanagroup huwa wanatupia mizigo kulaini
Tafuta simu kama Lenovo P2 au huawei mate zote zipo vizuri kukaa na chajiHahaha mkuu unanionea... Visimu vyenyewe hivi ukiacha data wazi masaa 3 tu vishazima
Alteza zipo mkuu... Unataka ya bei ganiAlteza vipi?
Sawa mkuu itabidi nitafute maana ni muhimu kwa kazi yanguTafuta simu kama Lenovo P2 au huawei mate zote zipo vizuri kukaa na chaji
Achana na magroup ya whasap hayana maana utajaza watu 200 alafu kila siku ni haohao. Wanunuaji hakuna ila niwauliza specs za magari na bei. Alafu ni walewale limited. Hapa JF kuna wasomaji tu hawa comment na wanakufata huko whasap. Kwa ufup nadhan unaelewa kuweka biashara JF ni sawa nakuweka bidhaa sokoni hadharani na kuweka whasap ni sawa nakuweka chumbaniHili wazo limetolewa siku nyingi... Naangalia namna bora yakulifanyia kazi lakini kwa sasa ukinifuata whatsapp nipo active sana nahakikisha nalipatia ufumbuzi hitajio lako
Ushauri mzuri sana huuAchana na magroup ya whasap hayana maana utajaza watu 200 alafu kila siku ni haohao. Wanunuaji hakuna ila niwauliza specs za magari na bei. Alafu ni walewale limited. Hapa JF kuna wasomaji tu hawa comment na wanakufata huko whasap. Kwa ufup nadhan unaelewa kuweka biashara JF ni sawa nakuweka bidhaa sokoni hadharani na kuweka whasap ni sawa nakuweka chumbani
Asante mkuuNjoo whatsapp niwe nakutumia kwa ukaribu na haraka mpaka ipatikane utayopenda 0689699704
Asante mkuuNjoo whatsapp niwe nakutumia kwa ukaribu na haraka mpaka ipatikane utayopenda 0689699704
Asante mkuuNjoo whatsapp niwe nakutumia kwa ukaribu na haraka mpaka ipatikane utayopenda 0689699704
Asante mkuuSawa mkuu ukiipata tena na bei ikipoaa kidogo nijuzee kaka
NotedAchana na magroup ya whasap hayana maana utajaza watu 200 alafu kila siku ni haohao. Wanunuaji hakuna ila niwauliza specs za magari na bei. Alafu ni walewale limited. Hapa JF kuna wasomaji tu hawa comment na wanakufata huko whasap. Kwa ufup nadhan unaelewa kuweka biashara JF ni sawa nakuweka bidhaa sokoni hadharani na kuweka whasap ni sawa nakuweka chumbani