Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Whatsapp inahitaji muda mwingi uwe online,sasa huyu jamaa mara nyingi anazima data(anajua ni kwa nini nimesema hivi)
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unaanzisha tu anakuwa anatupia mizigo harafu anazima hiyo data yake baadaye anakuja kuangalia walionasa.
Kama wale autocom japan wanagroup huwa wanatupia mizigo kulaini
 
Hili wazo limetolewa siku nyingi... Naangalia namna bora yakulifanyia kazi lakini kwa sasa ukinifuata whatsapp nipo active sana nahakikisha nalipatia ufumbuzi hitajio lako
 
Achana na magroup ya whasap hayana maana utajaza watu 200 alafu kila siku ni haohao. Wanunuaji hakuna ila niwauliza specs za magari na bei. Alafu ni walewale limited. Hapa JF kuna wasomaji tu hawa comment na wanakufata huko whasap. Kwa ufup nadhan unaelewa kuweka biashara JF ni sawa nakuweka bidhaa sokoni hadharani na kuweka whasap ni sawa nakuweka chumbani
 
Ushauri mzuri sana huu
 
Noted
 
Mark X Vertiga
Mwaka:2005
2499CC
Bei:18.5M pamoja na usajili
Mawasiliano :0689699704
FB_IMG_1525948220789.jpg
FB_IMG_1525948217637.jpg
FB_IMG_1525948227013.jpg
FB_IMG_1525948230295.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom