Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rav4 miss Tz
Mwaka:2006
Bei:19M
Mawasiliano :0689699704View attachment 769441View attachment 769442View attachment 769444
Haitoshi mkuu14m ipo mkuu
Nilikusudia kunakua na option kadhaa mbadalaFull option means what???
Niongeze ngap naihitaji serious, km ngap, 4wd au 2wd..any accidents record so farHaitoshi mkuu
150000Km ni 4wd.. Kuna marekebisho ilifanyiwa kwa nje pamoja na kupigwa rangi ila kiujumla gari ipo vizuriNiongeze ngap naihitaji serious, km ngap, 4wd au 2wd..any accidents record so far
Toyota Premio
Mwaka:2004
1700CC
12.8M
Mawasiliano :0689699704View attachment 769926View attachment 769927View attachment 769928
Iyo Rav4 imetembea kilometa ngapi Maui na aipungui zaidi ya apo?
Upo sahihi kabisa narekebishaCheki vzr taarifa zako hii gari ni ya 2002 pia cc ni 1500
Ishatoka mkuuIyo Rav4 imetembea kilometa ngapi Maui na aipungui zaidi ya apo?