Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Itapendeza ukinambia zipo za bei gan? MkuuAlteza zipo mkuu... Unataka ya bei gani
Kuanzia 5.5M mpaka 8.5MItapendeza ukinambia zipo za bei gan? Mkuu
5.5M Used or?Kuanzia 5.5M mpaka 8.5M
Ndio mkuu used5.5M Used or?
Altezza ya 5.5M ubora wake sio wa mashaka mkuu?Ndio mkuu used
Inategemea, zipo ambazo zimetunzwa vizuri around hapo 5.5M na 6M, zipo nzuri kwa bei hiyoAltezza ya 5.5M ubora wake sio wa mashaka mkuu?
8.5M ya mkononi... Namba C mpaka 7.5M unapataRaum ya 2004 kiasi gani?