Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Hii gari alienunua imemshinda au vipi?

Haina tatizo kabisa?
Mkuu gari za Toyota wanatoa uangalizi mpaka km 50000, so kwa km hizo naaamini bado haina shida kabisa maana angeirudisha kwa dealer akarekebisha bure
 
Natafuta Gar Aina ya Alex iwe No D,naomba bei pia picha yake
Ipo hii inataka 10.5M ila zipo pia za bei chini ya hii
Tuwasiliane 0689699704
IMG-20180517-WA0078.jpg
IMG-20180517-WA0079.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom