Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Land Rover 110
Tdi engine
Mwaka:1997
Bei:16.5M
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180517-WA0008.jpg
IMG-20180517-WA0011.jpg
IMG-20180517-WA0009.jpg
 
Mkuu naomba price ya Honda HRV, Ikiwa ya blue itapendeza ukini-tag/quote mkuu itakua rahisi kuona reply yako!
 
Hvi dar hii kwel unaweza ukapta ndinga ya 3.5M? Kuna jamaa yangu ananisumbua na minajua hii kitu haiwezekan
 
Nakutumia toyota runx whatsap gari Kali sana...model ya 2003,km zake ni 97000
#c,Inauzwa 7.7 kwa mwenyewe....rangi silver...haijawwhi kugongwa waka kupigwa rangi....cheki whatsap yko game...

Ova
 
Inawezekana mkuu, unataka tu glanza au hata nyengine ikiwa vizuri unachukua?
Ndio nitachukua,hasa gari kama starlet,toyota IST,runx,raum,alex,rav4,carina na nyingine ndogondogo zinzotumia mafuta kidogo ila hizo nilizokutajia ndio first priority.
 
Diesel engine:ZD 30
Model: nissan
Km:213,182
Loc; dar es salaam
Mawasiliano.: 0765 290 727
Price 13M
In Good condition ruksa kukagua.!


IMG-20180320-WA0013.jpeg
IMG-20180320-WA0012.jpeg
IMG-20180320-WA0011.jpeg
IMG-20180320-WA0010.jpeg
IMG-20180320-WA0014.jpeg
 
Mpatie the game Ile runx ya 7.7m nmekutumia whatsap n'a détails zake kama vp ntawaonganisha n'a Muuzaji mwenyewe si unajua sahv biashara ni wazi tu

Ova
Alisema budget yake ni 5M, tutamsikia akitaka hiyo Runx tutampa
Nitaipost pia kwahiyo wadau wataiona hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom