Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona wadau wapo busy hata kujibu hawana mudaHivi mkisema push to start " uwa mnamaanisha nini ?
Mkuu gari za Toyota wanatoa uangalizi mpaka km 50000, so kwa km hizo naaamini bado haina shida kabisa maana angeirudisha kwa dealer akarekebisha bureHii gari alienunua imemshinda au vipi?
Haina tatizo kabisa?
Inawashwa kwa batan mkuu haina funguo ila ina rimoti yakulock tuNaona wadau wapo busy hata kujibu hawana muda
Push to start nadhani itakuwa gari ya kusukuma[emoji1] mambo ya la saba B
Push to start or push buttonInawashwa kwa batan mkuu haina funguo ila ina rimoti yakulock tu
Ipo hii inataka 10.5M ila zipo pia za bei chini ya hiiNatafuta Gar Aina ya Alex iwe No D,naomba bei pia picha yake
Ndio mkuu kaamua tu kuuza haina tatizoHii gari alienunua imemshinda au vipi?
Haina tatizo kabisa?
7.5M mkuuMkuu Raum namba C napata kwa Bei gan iwe kwenye Hali nzuri
Unawasha gari kwa kubonyeza button badala ya ufunguoHivi mkisema push to start " uwa mnamaanisha nini ?
Ngumu mkuuNoah nina 5.0m cash
Duh haiwaki mpaka msukume... Kazi ipoNaona wadau wapo busy hata kujibu hawana muda
Push to start nadhani itakuwa gari ya kusukuma[emoji1] mambo ya la saba B
Kwema mkuu? Nahitaji land rover pick up TDI 200. Bei isizidi 10MNjoo whatsapp niwe nakutumia kwa ukaribu na haraka mpaka ipatikane utayopenda 0689699704
Kwema mkuu, nitakujibu hapa wacha niifanyie kaziKwema mkuu? Nahitaji land rover pick up TDI 200. Bei isizidi 10M
Inawezekana mkuu, unataka tu glanza au hata nyengine ikiwa vizuri unachukua?Mkuu gari ya 5 milioni naweza pata.kama glanza stalet