Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
anapata gari/ndinga kali na chenchi inarudi.. hii ndio dar.. zipo mpaka za laki 6...😱😱😱😱😱😱Hvi dar hii kwel unaweza ukapta ndinga ya 3.5M? Kuna jamaa yangu ananisumbua na minajua hii kitu haiwezekan
Nimepata CRV inataka 5.5MMkuu naomba price ya Honda HRV, Ikiwa ya blue itapendeza ukini-tag/quote mkuu itakua rahisi kuona reply yako!
Nakushukuru mkuu kwa jitihada zako , nikipata HRV itapendeza zaidi!
anapata gari/ndinga kali na chenchi inarudi.. hii ndio dar.. zipo mpaka za laki 6...😱😱😱😱😱😱
Ndio nitachukua,hasa gari kama starlet,toyota IST,runx,raum,alex,rav4,carina na nyingine ndogondogo zinzotumia mafuta kidogo ila hizo nilizokutajia ndio first priority.Inawezekana mkuu, unataka tu glanza au hata nyengine ikiwa vizuri unachukua?
Bei 5.5MNdio nitachukua,hasa gari kama starlet,toyota IST,runx,raum,alex,rav4,carina na nyingine ndogondogo zinzotumia mafuta kidogo ila hizo nilizokutajia ndio first priority.
Mpatie the game Ile runx ya 7.7m nmekutumia whatsap n'a détails zake kama vp ntawaonganisha n'a Muuzaji mwenyewe si unajua sahv biashara ni wazi tu
Alisema budget yake ni 5M, tutamsikia akitaka hiyo Runx tutampaMpatie the game Ile runx ya 7.7m nmekutumia whatsap n'a détails zake kama vp ntawaonganisha n'a Muuzaji mwenyewe si unajua sahv biashara ni wazi tu
Ova