Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanifunga mkuu! Ungenambia tuBudget yako ngapi mkuu
Nahitaji Toyota Townace 4WD Manual. Iwe clean conditionBudget yako ngapi mkuu
Shida mkuu nitaingia chimbo nikupe gari halafu iwe nje ya budget yako.Unanifunga mkuu! Ungenambia tu
Mkuu ile ist yako ulishapata mtejaNauza premio
Ina cc 1490
Bei 11.5M
Call 0787119969
Whats app 0689800817View attachment 797581View attachment 797585View attachment 797586View attachment 797587View attachment 797589View attachment 797590View attachment 797592View attachment 797593View attachment 797594
Ipo nyengine kama ileMkuu ile ist yako ulishapata mteja
mbona uliing'ang'ania million 11.5 na kulia sana kuwa unashida kumbe una magari mengi hivo! daaaah , hongera mkuuIpo nyengine kama ile
Yale yalikua ya kwangu kaka nimeuza . Sasa ivi . Ninauza magari mengine ya jamaa zangu ili nipate kurudi kwenye standard yangumbona uliing'ang'ania million 11.5 na kulia sana kuwa unashida kumbe una magari mengi hivo! daaaah , hongera mkuu
Vipi liteace mkuu itakufaa?Nahitaji Toyota Townace 4WD Manual. Iwe clean condition
Mkuu hii ni Manual na Ina 4WD?
Samahani mkuu sio manual na haina 4wd, naomba unicheki whatsapp nikutafutie kwa ukaribu 0689699704Mkuu hii ni Manual na Ina 4WD?
Bad ipo hii chief
Hii ishatoka chiefBad ipo hii chief
Karibu tena mkuuWakuu nimefurahi sana kukutana nanyi tena, hakika kwa siku hizi chache nilikua na simanzi sana kukosa kua nanyi humu jukwaani .
Shukrani za kipekee kwa wanaJf wenzangu walionipigia na kunitumia ujumbe kuniarifu kua sasa Jf yetu ipo hewani.Imenipa moyo sana kuona kumbe ninachofanya ni cha thamani sana, hakika sisi ni familia nawaombeni tusitengane.
Team nzima ya Jf nyinyi ni watu muhimu sana kwa jamii yetu, ni mengi mazuri tunayapata kutoka kwenu, hakika mnayo jazaa kubwa kutoka kwa mungu.
Changamoto ni nyenzo ya kujiimarisha na kuongeza ufanisi zaidi, hata siku moja tusizifanye changamoto kua visingizio vya kuharibika mambo, kwani tukifanya hivyo hakuna chengine tutakachopata kwenye maisha haya zaidi ya kutofanikiwa kwenye kila jambo tunalofanya.
Nawapenda sana ndugu zangu zawadi ya penzi langu kwenu nikuwaleteeni kazi zenye ubora wa hali ya juu.
Msiache kunisahihisha na kunishauri,ile penye makosa tusahihishe na penye mapungufu turekebishe
Kaeni mkao wa kula, kazi nzuri zinakujieni. Siku njema wakuu!!
Asante sana mkuuKaribu tena mkuu