Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Nauza premio
Ina cc 1490
Bei 11.5M
Call 0787119969
Whats app 0689800817
 
mbona uliing'ang'ania million 11.5 na kulia sana kuwa unashida kumbe una magari mengi hivo! daaaah , hongera mkuu
Yale yalikua ya kwangu kaka nimeuza . Sasa ivi . Ninauza magari mengine ya jamaa zangu ili nipate kurudi kwenye standard yangu
 
Wakuu nimefurahi sana kukutana nanyi tena, hakika kwa siku hizi chache nilikua na simanzi sana kukosa kua nanyi humu jukwaani .

Shukrani za kipekee kwa wanaJf wenzangu walionipigia na kunitumia ujumbe kuniarifu kua sasa Jf yetu ipo hewani.Imenipa moyo sana kuona kumbe ninachofanya ni cha thamani sana, hakika sisi ni familia nawaombeni tusitengane.

Team nzima ya Jf nyinyi ni watu muhimu sana kwa jamii yetu, ni mengi mazuri tunayapata kutoka kwenu, hakika mnayo jazaa kubwa kutoka kwa mungu.

Changamoto ni nyenzo ya kujiimarisha na kuongeza ufanisi zaidi, hata siku moja tusizifanye changamoto kua visingizio vya kuharibika mambo, kwani tukifanya hivyo hakuna chengine tutakachopata kwenye maisha haya zaidi ya kutofanikiwa kwenye kila jambo tunalofanya.

Nawapenda sana ndugu zangu zawadi ya penzi langu kwenu nikuwaleteeni kazi zenye ubora wa hali ya juu.

Msiache kunisahihisha na kunishauri,ile penye makosa tusahihishe na penye mapungufu turekebishe

Kaeni mkao wa kula, kazi nzuri zinakujieni. Siku njema wakuu!!
 
Karibu tena mkuu
 
FAW TRUCK Usjili namba C
Diesel
7127CC
Bei:40000000/=(Milioni arobaini)
Mawasiliano :0689699704
 
Landcruiser
1hd engine
Mwaka:2000
Bei:75000000/=(milioni sabini na tano)
Mawasiliano :0689699704
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…