Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Toyota Fortuner
Mwaka:2014
Diesel
Bei:$14000
Ni gari ya diplomat inadaiwa import duty na huyo bei hapo juu haijumuishi hilo Deni
Mawasiliano:0689699704
 
Habari za leo

Natafuta gari TOYOTA CROWN ATHLETE SERIES

Mwaka: Kati ya 2004 mpaka 2008

Engine isizidi 2500Cc

Iwe ni 4WD (Kwa sababu mara chache chache huwa nasafiri kwenye barabara zenye vilima korofi na zenye utelezi)

BEI IWE RAHISI SANA

Kama kuna muuzaji wa magari mwenye gari yenye sifa hizo hapo juu anipatie namba yake tuwasiliane!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…