Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Hii ishauzwa mkuuImetembea kilometer ngapi?
Ina CC ngapi? Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ishauzwa mkuuImetembea kilometer ngapi?
Ina CC ngapi? Mkuu
Waheshimiwa samahanini, Naomba kujua hizi gari matatizo yake makubwa huwa Ni nini kwa mtu anayeihitaji, ikiwa na matengenezo yake kama Ni gharama sana kwa spare parts.?Noah new model
Bei:6500000/=(Milioni sita na laki tano)
Mawasiliano:0689699704View attachment 813194View attachment 813195View attachment 813196
Wakuu mwenye uzoefu na hizi gari amsaidie mwenzetu hapaWaheshimiwa samahanini, Naomba kujua hizi gari matatizo yake makubwa huwa Ni nini kwa mtu anayeihitaji, ikiwa na matengenezo yake kama Ni gharama sana kwa spare parts.?
Mhh number D mlango wa nyuma na bampa kwisha hivyo?Nissan Caravan
Bei:10500000/=(Milioni kumi na laki tano) fixed
Mawasiliano:0689699704View attachment 819410View attachment 819412
Hii nmepishana nayo tandale imeichuna tata ya gongolamboto[emoji2]Toyota Ist
Mwaka:2003
1490CC
Imetembea :47000km
Ina mwezi mmoja tangu isajiliwe
Bei:10800000/=(Milioni kumi na laki nane) View attachment 801135View attachment 801136
Tushauza hiiHii nmepishana nayo tandale imeichuna tata ya gongolamboto[emoji2]
Tushauza hii
Dah tutamcheki tumpe pole mteja wetuBasi mumemuuzia learner kaingia mwenyewe kwenye tata yani kaingia mwenye kulia na kushoto kaacha barabara sehemu kubwa tu.
Gari ipo vizuri mkuu njoo ukague ujionee mwenyewe hizi stika za voda zisikutoshe..Kasoro ndogo hazikisekaniMhh number D mlango wa nyuma na bampa kwisha hivyo?