Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Wakuu nahitaji mark x,

Offer yangu ni 8M. Ikiwa nyeusi namba D itapendeza zaidi.
 
Naona hapa hapatuhusu sisi ambao hata kiwanja tu hatuna[emoji22][emoji22]
Hapana boss panakuhusu sana sababu sio watu wanaomiliki magari wanamiliki viwanja.
Kumiliki gari ni swala la vipaombele tu halafu gari zenyewe hata ukiwa na milioni 2 au 3 hivi unasukuma ndinga mjini hapa..kwanini sasa pasikuhusu.

Hata ukiona tu picha za gari hivi na bei zake ni faraja tosha,inakupa moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…