Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Kwa jinsi hii biashara ya magari ilivo unaweza kufikiwa na gari baada ya madalali hata watatu na kila mtu anaweka cha juu chake,naamini hata Master of the game anapata gari nyingi toka kwa madalali wenzie. Kwa hiyo itategemea na yy kapata kwa dalali wa ngapi kwny mtiririko huo ndipo naye atafix bei yake,ndo mjini palivo.hahahha Madalali wenzio kwenye page Instagram
nimeona mmoja kaweka milioni 9
Sasa Mkuu umeamua kupata faida mara dufu ya zaidi ya Bei ya mwenye mali
Nakutafutia mkuuMimi natafuta vile vi suzuki samurai kama hako pichaniView attachment 942278
8 huli?Toyota Crown Royal
Mwaka:2006
2490CC
85000Km
Bei: Milioni 9.5
Mawasiliano:0658124554
Gari bado mbichi kabisa namba DM , nipigie uje kukaguaView attachment 938384View attachment 938385View attachment 938386View attachment 938387View attachment 938388View attachment 938389
Nipigie sasa hivi nikupe gari 0658124554Nina 6.5m nahtji GX 110 au Verosa namba D cc isizid 2000 4cylinder sylver Pm
Hii Canter ushauza?
Ishauzwa mkuuHii Canter ushauza?