Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Toyota Liteace Noah
Sr40
Gear ndefu
Mwaka:1997
1990CC
Bei: Milioni 12.5
Mawasiliano:0658124554
IMG-20181119-WA0078.jpg
IMG-20181119-WA0080.jpg
IMG-20181119-WA0082.jpg
IMG-20181119-WA0081.jpg
IMG-20181119-WA0084.jpg
IMG-20181119-WA0083.jpg
IMG-20181119-WA0076.jpg
 
hahahha Madalali wenzio kwenye page Instagram
nimeona mmoja kaweka milioni 9
Sasa Mkuu umeamua kupata faida mara dufu ya zaidi ya Bei ya mwenye mali
Kwa jinsi hii biashara ya magari ilivo unaweza kufikiwa na gari baada ya madalali hata watatu na kila mtu anaweka cha juu chake,naamini hata Master of the game anapata gari nyingi toka kwa madalali wenzie. Kwa hiyo itategemea na yy kapata kwa dalali wa ngapi kwny mtiririko huo ndipo naye atafix bei yake,ndo mjini palivo.
 
Toyota Ractis mpya (haijatumika Tz)
Mwaka:2005
1290CC
53000km
Bei: Milioni 10.5
Mawasiliano:0658124554
IMG-20181124-WA0050.jpg
IMG-20181124-WA0052.jpg
IMG-20181124-WA0051.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom