Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
ukiuziwa gari imeoshwa injin huwez kubaini leakage mzee baba au hujawahi kufanya mishe za magari?
Mbona gari zikitoka japan wanaosha ingini hasa autorec na enhance auto na sijawahi kuona hiyo "linkage" yako? Alafu leakage inaonekana engine ikiwa safi au chafu? Simple logic