Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
ukiuziwa gari imeoshwa injin huwez kubaini leakage mzee baba au hujawahi kufanya mishe za magari?
Gx100
1G kavu
Bei: Milioni 2.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 976821View attachment 976822View attachment 976823View attachment 976824
Mbili umeua boss,wewe njoo tu ukague tuzungumze naamini tutafikia muafaka2 huchukui
Chombo ya mwendo...BMW X6
Mwaka:2010
Diesel engine
2990CC
35000km
Bei: Milioni 65
Mawasiliano:0658124554View attachment 978821View attachment 978824View attachment 978826View attachment 978829
Asante mkuuChombo ya mwendo...
Mkuu kazi yako nzuri, Tunapanga kuwa na tuzo za JF, kazi yako ni nzuri, vijana tunaishi Dar bila bughudha ya usafiri, Hongera sana Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu habari? Nahitaji Toyora Corolla 90, angalia tu kwenye magari ulonayo kama ipo na itapendeza zaidi ikiwa manual. Nakusubiri.Mbili umeua boss,wewe njoo tu ukague tuzungumze naamini tutafikia muafaka
Contrary na unavyosema, ukiosha engine Na ukatembea Na gari kwa muda ndiyo utaona palipo Na likage kwa urahisi.ukiuziwa gari imeoshwa injin huwez kubaini leakage mzee baba au hujawahi kufanya mishe za magari?