Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Sio gharama kubwa ni kati ya laki, laki na nusu.
Ni wazo zuri la group ila naomba unieleweshe zaidi, hao member wa group tunawachukua wapi, na maudhui ya group hasa itakua nini?
Member tunatoka hapa wa kwanza mm, na ktk group updated ni magari tu ndo maudhui ya group kichwa cha somo in kama hiki hapa kwenye jf hapa picha hazifunguki nyingine na hazionekani vzr
 
Ni wazo zuri mkuu tutalifanyia kazi vuta subra
 
Member tunatoka hapa wa kwanza mm, na ktk group updated ni magari tu ndo maudhui ya group kichwa cha somo in kama hiki hapa kwenye jf hapa picha hazifunguki nyingine na hazionekani vzr
Naomba kuunganishwa mkuu
 
Shukrani japo hii kwenye pitapita nilikuwa nshaoneshwa na bei kidogo yako ipo juu
Ndivyo nilivyopewa mkuu, nitafute nyengine? na budget yako ikoje? na je kuna kitu hujakipenda kwenye hii ili kisiwepo kwenye hiyo nyengine?
 
Reactions: Lee

Shukrani mkuu kwa ushirikiano ..hii iko poa na my fav body colour was Gray....

I thanks jana nilipata make nisiwe mnafiki kabla ya kuuliza hapa kuna chimbo nilikuwa nako nimerusha ndoana
 
Vizuri mkuu kama umefanikiwa, karibu tena.
 
Reactions: Lee
Toyota wish, model 2005,1794CC,bei ni 12M ambapo gharama hii inajumuisha usajili na service
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…