Mimosa
Member
- Apr 5, 2014
- 71
- 31
Member tunatoka hapa wa kwanza mm, na ktk group updated ni magari tu ndo maudhui ya group kichwa cha somo in kama hiki hapa kwenye jf hapa picha hazifunguki nyingine na hazionekani vzrSio gharama kubwa ni kati ya laki, laki na nusu.
Ni wazo zuri la group ila naomba unieleweshe zaidi, hao member wa group tunawachukua wapi, na maudhui ya group hasa itakua nini?