Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Toyota Ist
Mwaka:2004
1290CC
Tairi mpya
Fog lights
Bei: Milioni :10.5
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
 
Toyota RAV4
Mwaka:1998
Rangi: Silver
Imetembea km 79000+
Bei: Milioni :13.5
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
 
Mzee baba gari tafta million 5 humu walau utapata chombo kilicho standard. Sasa we mzee mwenzangu unalilia gari kwa bei ya pikipiki kweli. Kwahio hela utanunua matatizo tu sio gari. Jivute vute braza!
Yeah! Hilo ni kweli kamanda gari ya millioni 3 nimegundu ni majanga sana
Angalau hiyo m5, ngoja tuendelee kuzisaka
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…