Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeuzwa hii? mwisho kabisa ngapi?Nissan Patrol
Mwaka:1992
4200CC
Td 42
Manual
Bei: Milioni 9.4
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1049375View attachment 1049377View attachment 1049380View attachment 1049382
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaomba ufafanuzi wa neno mnyonge,. Isije ukawa unakosea watu kuongozi! Na ikibainika umetenda kosa basi tume husika itakuhojiNdinga za Wanyonge bado
Bado ipo mkuu , Milioni 8.5Imeuzwa hii? mwisho kabisa ngapi?
Napost mpaka gari za Milioni 3 humuJamaa sikuhizi anapost gari za kitajiri tupu
Napost mpaka gari za Milioni 3 humu
Duh mtihani mzito huo lakini tutapata ISISKama kweli ntaftie isis ya million 7 au corrolla fielder ya kuanzia 2009
kweli bwana, huu ukurasa ni kwa watu maalumu!Mkuu master tuwekee gari za bei zetu kuanzia m4 mpka m 6 izi za mamilioni waachie akina piere Boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Toyota RAV4
Mwaka:1998
Rangi: Silver
Imetembea km 79000+
Bei: Milioni :13.5
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1083169View attachment 1083170View attachment 1083171View attachment 1083172View attachment 1083174View attachment 1083178
umeona ee! usukani na dashbord ni TOYOTA WISHHiyo picha ya mwisho inayoonesha sterling nadhani umechanganya mkuu hiyo sio Carina..
Mzee baba gari tafta million 5 humu walau utapata chombo kilicho standard. Sasa we mzee mwenzangu unalilia gari kwa bei ya pikipiki kweli. Kwahio hela utanunua matatizo tu sio gari. Jivute vute braza!
Hahaha wale wapenda vitonga nawaasa jamani, za kuambiwa changanya na zako. Hio pesa bora ununue bajaji used italeta hela kila jioni ila sio hii HONDAHonda CR-V
Bei: Milioni 2.9
Wakuu gari bei ya bodaboda hiyo mshindwe wenyewe
Mawasiliano:0658124554View attachment 1022435View attachment 1022436
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Honda-CRV juu hapo namba A cheki na mwana😂NIMEJICHANGA NIMEPATA TSHS. 2,500,000 JE NAWEZA KUPATA GARI GANI TOFAUTI NA COROLA, MARK 2 NA CRESTA
Yeah! Hilo ni kweli kamanda gari ya millioni 3 nimegundu ni majanga sanaMzee baba gari tafta million 5 humu walau utapata chombo kilicho standard. Sasa we mzee mwenzangu unalilia gari kwa bei ya pikipiki kweli. Kwahio hela utanunua matatizo tu sio gari. Jivute vute braza!
Yeah kichange mwanetu, mi wa mwezi wa 7 ndio ntavuta chombo bado najaza kibubuYeah! Hilo ni kweli kamanda gari ya millioni 3 nimegundu ni majanga sana
Angalau hiyo m5, ngoja tuendelee kuzisaka
Hahaha! Anapotea huyo ila jambo usilolijua unaweza pata shidaKuna Honda-CRV juu hapo namba A cheki na mwana[emoji23]
Hio gari toka siku atakayoipaki hapo uani kwake majuto yataanza. Hawa honda wanaziweza pikipiki tu haya maswala ya ndinga wamuachie Toyota tu.Hahaha! Anapotea huyo ila jambo usilolijua unaweza pata shida