Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Hii hapa NyeusiVerosa nyeusi km 100,000,plate number D or C iwe haijawahi funfuliwa injini (iwe katika hali nzuri) kwa 6million naweza pata???
Toyota IstKaka, hebu weka IST model mpya (kuanzia 2008)
Mkuu hii ni alteza,nataka verosaHii hapa Nyeusi
Haijawahi kufunguliwa engine
Hapo kwenye km sasa ndio kizaazaa, imetembea km 130000 sasa sijui itapendeza? View attachment 637081View attachment 637082View attachment 637084
Samahani nimeghafilika mkuuMkuu hii ni alteza,nataka verosa
Najitahidi mkuu kuweka details zote, ukiona sehemu nimeghafilika na ungependa kufahamu details zake niulize tu nitajibu mkuuMbona husemi gari ni la mwaka gani na mileage inasoma ngapi? Unataja tu AT au MT
Mkuu namba D kwa 6.8M upande wangu ni ngumu kuipataNahitaj TOYOTA IST namba D bajeti 6.8m top.