Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Hii hapa NyeusiVerosa nyeusi km 100,000,plate number D or C iwe haijawahi funfuliwa injini (iwe katika hali nzuri) kwa 6million naweza pata???
Haijawahi kufunguliwa engine
Hapo kwenye km sasa ndio kizaazaa, imetembea km 130000 sasa sijui itapendeza?