Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Hivi Ford Escape ya mwaka 2007 na Subaru Forester ya 2007 ipi iko poa,kwa upande wa comfortability,durability,Upatikanaji wa vipuri pamoja na gharama ya kila gari hadi liwe mkononi(assuming milage na factor nyingine kuwa almost sawasawa)
 
Mkuu Chaza kutokana na hizo factor ulizotaja hapo juu Subaru itafanya vyema.
Kuhusu bei kwa kweli sifahamu ambayo nafahamu ni Subaru forester ya 2005 ,ya 4cylinder na 1990CC, hiyo tunauza kwa 13.5M
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…