Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Ile ilikua inauzwa milioni 3 lakini ishauzwa, ipo hii namba C kwa 5.5MBraza,haka kagari kanaendaje? Hiyo namba A siyo ya zamani sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ilikua inauzwa milioni 3 lakini ishauzwa, ipo hii namba C kwa 5.5MBraza,haka kagari kanaendaje? Hiyo namba A siyo ya zamani sana?
Nakushukuru mkuu Master, nadhan Subaru ya 2007 inaweza kuanzia 16-19m/-Mkuu Chaza kutokana na hizo factor ulizotaja hapo juu Subaru itafanya vyema.
Kuhusu bei kwa kweli sifahamu ambayo nafahamu ni Subaru forester ya 2005 ,ya 4cylinder na 1990CC, hiyo tunauza kwa 13.5MView attachment 643902View attachment 643903
Kilometa ngapi na ni 4wd na je inapungua mpaka ngap mwisho?Toyota Runx, model ya 2002,1.5CC ,bei 13M
Gari haijatumika Tanzania
Mawasiliano :0689699704View attachment 642915View attachment 642916View attachment 642917View attachment 642918View attachment 642919
Vitz clavia hii hapa bei 6.5MMkuu nitafutie vits clavia namba D km chini ya laki tufanye biashara
Bei mkuuToyota Ist, 2003 model, 90000km, contact 0689699704View attachment 638230View attachment 638231View attachment 638232View attachment 638233View attachment 638234
Km 50000+,ni 2wd kwa upande wa bei ni milioni 13 haipunguiKilometa ngapi na ni 4wd na je inapungua mpaka ngap mwisho?
Hii imeuzwa mkuu, unataka Ist ya sh ngap?Bei mkuu
Old model, unataka fresh from Japan au iliyotumika bongo?rav j
roho ya paka hiiIle ilikua inauzwa milioni 3 lakini ishauzwa, ipo hii namba C kwa 5.5MView attachment 644400View attachment 644401View attachment 644402View attachment 644403View attachment 644404
Tatizo uchakachuz..ila kikubwa gari ukague mwenyewe na fundi wako.Kuna vitu vinasikitisha sana gari ya mwaka 1999 ila ina mileage 57000k saa cjui ilikuwa ime park ndani miaka yote. (2017-1999=18). (57000/18=?) .