Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Braza,haka kagari kanaendaje? Hiyo namba A siyo ya zamani sana?
Ile ilikua inauzwa milioni 3 lakini ishauzwa, ipo hii namba C kwa 5.5M
IMG-20171205-WA0009.jpg
IMG-20171205-WA0010.jpg
IMG-20171205-WA0011.jpg
IMG-20171205-WA0007.jpg
IMG-20171204-WA0042.jpg
 
Kuna vitu vinasikitisha sana gari ya mwaka 1999 ila ina mileage 57000k saa cjui ilikuwa ime park ndani miaka yote. (2017-1999=18). (57000/18=?) .
Tatizo uchakachuz..ila kikubwa gari ukague mwenyewe na fundi wako.
Usiangalie km mkuu.
 
Mkuu naomba kujua polo Gt ya mkononi ama kuagiza bei zake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom