Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Mzee baba kuna M3 cash hapa siwezi kupata kastarlet kakuzugia kitaani kurahisisha visafari vya town...
Starlet hii hapa mzee baba
FB_IMG_1512277929862.jpg
FB_IMG_1512277927030.jpg
FB_IMG_1512277924338.jpg
FB_IMG_1512277909465.jpg
 
Hivi Ford Escape ya mwaka 2007 na Subaru Forester ya 2007 ipi iko poa,kwa upande wa comfortability,durability,Upatikanaji wa vipuri pamoja na gharama ya kila gari hadi liwe mkononi(assuming milage na factor nyingine kuwa almost sawasawa)
 
Mkuu Chaza kutokana na hizo factor ulizotaja hapo juu Subaru itafanya vyema.
Kuhusu bei kwa kweli sifahamu ambayo nafahamu ni Subaru forester ya 2005 ,ya 4cylinder na 1990CC, hiyo tunauza kwa 13.5M
FB_IMG_1512404083020.jpg
FB_IMG_1512404078957.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom