nanawoo
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 1,309
- 1,270
mkuu hii mwisho ngapi naomba mawasiliano pls
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hii mwisho ngapi naomba mawasiliano pls
Karibu sanunauza bei nzuri sana tutatafutana mkuu
Nimeweka mkuu ni 0689699704Magari mazuri ila hukuweka contacts zako
Vanguard ni milioni 20Mbona hujatoa bei ya toyata vgrd?
0689699704mkuu hii mwisho ngapi naomba mawasiliano pls
Bei gani hii?Toyota Vanguard, 2010 model, engine type vvti, 4cylinder, cc2362View attachment 623876View attachment 623879View attachment 623882
Milioni 20 mkuuBei gani hii?
Whtsp cm ako haipo.?Vanguard ni milioni 20
Nitumie text ya kawaida nitakutumia namba ya WhatsappWhtsp cm ako haipo.?
Inaenda ngapi.hiyo mkuuHii hapa mkuu ya mwaka 2004,km 149021View attachment 623931View attachment 623932
Haijasajiliwa?Toyota Vanguard, 2010 model, engine type vvti, 4cylinder, cc2362View attachment 623876View attachment 623879View attachment 623882
Nitaweka mkuu, utanunua lakini?Kama hamna chuma cha Mjerumani Benz ase sina Aman baba
Haijasajiliwa mkuu, mileage 67000km, njoo kwanza uikague ukiridhika utazungumzaHaijasajiliwa?
20m hakuna discount?
Mileage?
Toyota Nadia nzuri nipo nayo kwa 6.8M ,mileage 77000kmSorry mkuu,
Naulizia Toyota Nadia
Ipo?
Kama ipo iko kwenye kiasi gani?