Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Nissan x trail bei ni kama ifuatavyo.Nissan x trail ya 2007 black kiasi gani?
2005 milioni 15.5
2006 milioni 16
2007 milioni 17
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nissan x trail bei ni kama ifuatavyo.Nissan x trail ya 2007 black kiasi gani?
Poa mkuu, kama haijasajiliwa hiyo muziki munene, mpaka isajiliwe itakuwa sio chini ya 33mHaijasajiliwa mkuu, mileage 67000km, njoo kwanza uikague ukiridhika utazungumza
Hii sina mkuuWeka Nissan Tiida
Usajili ni juu yetu, hakuna gharama itakayoongezekaPoa mkuu, kama haijasajiliwa hiyo muziki munene, mpaka isajiliwe itakuwa sio chini ya 33m
Hii kitu yenye 7 seats...unaendajeToyota Vanguard, 2010 model, engine type vvti, 4cylinder, cc2362View attachment 623876View attachment 623879View attachment 623882
Number ya Prado tafadhaliWakuu habari zenu, leo nimeamua kuja na mjumuiko wa magari ambayo naamini yatawafaa wengi.Nayaorodhesha hapa kama ifuatavyo.
1:Toyota mark x ya mwaka 2004,imetembea km 203000,engine 2990cc bei ni 8.3MView attachment 621422View attachment 621423View attachment 621424View attachment 621425
2: Noah Townace ya mwaka 2001,imetembea km 128000 bei ni 12.5MView attachment 621428View attachment 621430View attachment 621432
3:Toyota Noah sr40,bei 8.5MView attachment 621433View attachment 621434View attachment 621436
4😛ick up double cabin engine 3l, bei 17MView attachment 621440View attachment 621442
5:Kluger new model, 4cylinder bei 20MView attachment 621446View attachment 621447View attachment 621448View attachment 621449View attachment 621451
6😛rado Tx imetembea km 57000 ,engine 3rz, bei 26MView attachment 621454View attachment 621455View attachment 621457
Tuwasiliane kupitia 0689699704,karibuni sana.
...ukiwa lofa huwa ujinga ujinga haukuishii !Yamekidhi,lakini siyo mazuri,tunayatumia tuu kuuzia sura maana hatuna namna.
By the way nyie nunueni tu mie mwenzuni nasubiria ya kwangu zile tulizoahidiwa na mtukufu mkuu!
Ok poa...ukiwa lofa huwa ujinga ujinga haukuishii !
.....nenda uzi wa 'zana za kilimo!Sijaona powertiller
.....kwanza powertiller ni gari !?Sijaona powertiller
Kwetu tunabebea maharusi.....nenda uzi wa 'zana za kilimo!
Hii ni milioni 20 mkuuHii kitu yenye 7 seats...unaendaje
Sijaona powertiller
Sijakuelewa mkuu, unamaanisha namba ya simu? kama unakusudia namba ya simu ni hii 0689699704Number ya Prado tafadhali
Hii hapa harrier 4cylinder milioni 19.8Mkuu harrier ya 4 cilinder unayo?
Hii hapa harrier 4cylinder milioni 19.8View attachment 624653View attachment 624654View attachment 624656View attachment 624657View attachment 624658