Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Habari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION Nk.<br /><br />Kama kuna mwenye Gari tajwa hapo juu Na angependa kuniuzia Gari lake kwa installment ambapo nitakua nalipa million moja kila mwezi mpaka gharama halisia itakapo malizika ndipo atanikabidhi kadi ya gari ....Tafadhali kwa aliyeko serious tutaftane kwa nambari 0759212578
 
Noah extra limo, kali ! Nina Tsh 12 mil. Upo tayari nikupe number.
 
Toyota Kluger
Mwaka :2003
2360CC
55000km
Bei :18M
Mawasiliano :0689699704
FB_IMG_1515597358183.jpg
FB_IMG_1515597366044.jpg
FB_IMG_1515597371542.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom