Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
duh hii bei ya mark X sio tatizo ila cc zake kuwa 2999 ni kwamba unywaji wake duh
 
Hii ni dollar 18, 000. Sema kuna nyingine pia zinatengenezewa South Africa kwa hii company ya land Rover. Bei yake ni tofauti pia. Ni gari nayoipenda sana. I believe in God and soon I am going to have it!.

Sent from my SM-G530F using JamiiForums mobile app
 
FB_IMG_1508333280838.jpg
FB_IMG_1508350135798.jpg
Land Rover Discover 4
 
Mkuu kwa bajeti ya 5.5m nitapata gari gani nzuri isiotumia sana mafuta
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom