1490CC, kuna watu wanakagua kama na wewe imekuvutia usichelewe
Mkuu hii wakati tunakwenda jamaa alikuwa na mteja toka mwanza alikuwa Ana maliza biashara.....tumeikosaaaToyota Ist
Namba D inauzwa haraka kwa 7.5M
Mawasiliano :0689699704View attachment 672302View attachment 672303View attachment 672304
Sio mbaya mkuu zitapatikana nyengineMkuu hii wakati tunakwenda jamaa alikuwa na mteja toka mwanza alikuwa Ana maliza biashara.....tumeikosaaa
Ova
Nipo tayari muda wote mkuu ,namba yangu 0689699704Noah extra limo, kali ! Nina Tsh 12 mil. Upo tayari nikupe number.
Tupia picha na details zake nipate mshawasha.Nipo tayari muda wote mkuu ,namba yangu 0689699704
Sawa mkuuTupia picha na details zake nipate mshawasha.
Nna Noah road tour #DG,inatakiwa 12mNipo tayari muda wote mkuu ,namba yangu 0689699704
Huyu anauza, hiyo offer nimetoa mimi.Nna Noah road tour #DG,inatakiwa 12m
Gari imesimama balaaa
Ntakurushia picha whatsap
Ova
Ni ya mwaka 1999,1990CC,98000kmTupia picha na details zake nipate mshawasha.
KaribuNtarudi.
Macho yangu au ? Naona kamaimetumika hivii !Ni ya mwaka 1999,1990CC,98000kmView attachment 672942
Imetumika lakini ipo kwenye hali nzuriMacho yangu au ? Naona kamaimetumika hivii !
Daaah...nahisi offer yangu kubwaImetumika lakini ipo kwenye hali nzuri
Mkuu inaenda bei kiasi gani?Land Rover Discover 4View attachment 663701