Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Njoo ukague gari tutazungumzaDaaah...nahisi offer yangu kubwa
Poa, nipo kikazi mkoani mpaka next week.Njoo ukague gari tutazungumza
sawa mkuu ukirudi tuwasilianePoa, nipo kikazi mkoani mpaka next week.
Daah hii nimeipenda, vipi sifa zakeTownace injection engine
Bei :13.5M
Mawasiliano :0689699704View attachment 674032View attachment 674033View attachment 674034View attachment 674035View attachment 674036
HiyoMkuu kwa bajeti ya 5.5m nitapata gari gani nzuri isiotumia sana mafuta
Fancargo
Bei :5.2M
Mawasiliano :0689699704View attachment 673683View attachment 673684View attachment 673685
5k engine, haina 4wd, huyu mama alinunua kwajili ya biashara ya maji akagundua baadae hizi gari sio nzuri kwa biashara hiyo.Daah hii nimeipenda, vipi sifa zake