Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Bila samahani mkuu, hakuna option yoyote ninayotumia zaidi ya kujitahidi kupost tu.mkuu unatumia option gani kuurudisha upya uzi wako samahani lakini kama nitakuuzi maana nimejaribu sana napata shida
Hongera zako mkuu, tumia tumia ukijisikia kuuza nishtueNdoto yangu ilikuwa Harrier New Model. Leo nimeitimiza. Namshukuru Mungu
Bila shaka mkuu, imani yako tuSubiri nikachukue mkopo ndiyo nikutafute najua hadi itanifikia popote nilipo
Tayari imeuzwa mkuuHii bado ipo mkuu??
6.5M haitoshi mkuu6.5 mkuu pesa mkononi
Bila samahani mkuu, hakuna option yoyote ninayotumia zaidi ya kujitahidi kupost tu.
Ninachoamini members ndio wanaofanya huu uzi uendelee kua mpya
Ushauri, jitahidi kupost vitu vinavyopendwa na uzi wako utakua mpya kila siku.
Karibu sana mkuu ujichagulie gari
Sawa mkuu, mungu akufanyie wepesiAhsante sana mkuu nimeona kazi yako ni nzuri sana napambana nijikusanye nami nipate huo usafiri